Hafla za Tanzania
Tengeneza hafla, pata QR na kiungo cha kushirikisha. Baada ya hafla, tuma SMS kwa wageni wote kutoka sehemu moja.

Wamesajiliwa
248
Weka QR kwenye skrini au bango. Mgeni anafungua kwa simu yake — hakuna app, hakuna login.
Kila usajili unarekodiwa na saa yake. Tafuta, hariri na pakua CSV wakati wowote.
Tuma shukrani au mwaliko wa hafla ijayo moja kwa moja kutoka dashibodi.